Wednesday, 14 December 2016

LISTEN INTERVIEW WITH LAIZER CLASSIC

P1M Ilibahatika kufanya mahojiano na prodyuza mwenye uwezo mkubwa kwenye muziki wa Bongo na huenda akawa moja kati watayarishaji bora kabisa wa muziki hapa nchini kutokana na umahiri wake wa kutengeza muziki mzuri..

Kuna issue nyinyi tuliweza kubonga pamoja na issue ya Kiba kufanya ngoma WCB na issue ya mashabiki kuwekeana matabaka hasusani mashabiki wa Diamond na Ally kiba pia usisite kunicheck kupitia whatsapp unipe mchongo na maoni pia kupitia number 0718084829 




HII NDO ILE KATUNI YA DIAMOND ILIYOLETA GUMZO MITANDAONI


MAGUFULI SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO TAZAMA HII VIDEO


0 comments: