
Hatimaye tumemalizana na LAIZER CLASSIC ndani ya WCB Pia naendelea kusisitiza kuwa usisite kunicheck kupitia whatsapp number 0718084829 nipe maoni yako kuhusu shows coz tunaelekea kufunga mwaka na kwa wale ambao wanahitaji nyimbo zao zipostiwe kwenye website hii msisite kunicheck sicost pesa yoyote maana we need to push the music
Jumapili tutakuwa na rapper WAKAZI alikuwa na mbishe nyingi tulibonga mimi na yeye hasusani kuhusu issue ya muziki wa rap hapa Tanzania na pia tuligusia pia suala la timu hizi mbili yaan team kiba pamoja na team mondi
KUSIKILIZA BONYEZA HAPA AU PLAY KWENYE PLAYER HIYO CHINI
0 comments:
Post a Comment