
SONGS
wanawake wa DAR
Sumu ya panya
natokea Dar
Degue fever
HIZI ni baadhi ya details fupi za WAKAZI ambaye siku ya leo anatiririka masuala kadhaa hasusani kuhusu muziki wake na experience yake katika game pia kuhusu mixtape yake ya MTIKILA tuligusia unataka kufahamu kwanini inaitwa MTIKILA basi vyote viko hapa.Pia kuhusu tuzo za bongo alihusia kidogo as mnakumbuka issue ya EATV AWARDS usisite kunicheck kupitia whatsapp unipe mchongo na maoni pia kupitia number 0718084829 Nawatakia sikukuu njema
KUSIKILIZA BONYEZA HAPA AU BONYEZA PLAY KWENYE PLAYE HAPO CHINI
KAMA ULIMISS INTERVIEW YA LAIZER PART 1 HEBU ICHECK HII
KAMA ULIIMISS HII YA CHEMICAL HEBU CHECK HAPA
0 comments:
Post a Comment