IFAHAMU ZAIDI
"TATA NAMO"gari ya bei rahisi zaidi duniani
Kampuni ya Tata Motors kutoka nchini India iliunda gari hili mnamo mwaka 2008 na kulifanya kuwa gari lenye bei nafuu zaidi duniani likiwa na dhamani ya dola za kimarekani 3056 sawa na 6,860,720 shilingi za kitanzania.
Mbunifu wa gari hili ambaye anajulikana kwa majina ya Girish Wagh alishirikiana na Justin Norek pamoja na Pierre Castine lengo likiwa ni kuweza kufanya biashara duniani kote mpaka kwenye nchi zilizo na maendeleo ya nchi hasusani barani Africa.Kampuni ya Tata imekuwa ikitoa magari ya kifahari lakini likija swala la bei tatizo ndo huwaga hapo ndipo ilipobuniwa gari hili ili kuweza kufikia kila mwananchi hasusani nchini India.
Gari hili lina injini ya petroli na mitungi miwili{2 cylinder} lina urefu wa milimita 3,099 upana wa milimita 1,495 lina uzito wa kilogramu 600 mpaka 635,Ni gari yenye siti za watu wanne abiria watatu na dereva,Gari hili lina uwezo wa kukimbia mpka kilomita 120 kwa saa,Tanki la mafuta lina uwezo wa kujaa{full tank} kwa lita 15 za mafuta.
Ni moja ya magari imara yenye uwezo wa kuhimili hata mishindo ya barabara nyingi za kiafrika kama matuta na milima hii ni kwa mujibu wa mtandao http://nano.tatamotors.com ambao ndio mtandao maalumu wa gari za kampini ya Tata kampuni iliyojizolea umaarufu mkubwa baada ya kutoa mlori makubwa kipindi cha nyuma hasusani miaka ya 2005

0 comments:
Post a Comment