
BAADA ya kuchakachua vya kutosha now tupo na dream girl
namleta kwenu kwa mara nyingine tena HANCY MPONZI msanii ambaye huenda Tanzania ikajivunia baadae coz jamaa anaimba fresh na support yenu ndo itamfanya yeye kufika mbali zaidi na perfect1mix kazi yetu ni kukupatia kile unachopaswa kukipata
0 comments:
Post a Comment