Namleta kwenu SUMA TRIPPLE A kijana kutoka Dodoma mwenye kipaji cha hali ya juu ambaye huenda ukisikia vocal lake utanielewa nini nachokimaanisha coz mchizi ana fanya poa na hapa ankuja na track naitambulisha kwenu inaitwa nikuite nani DOWNLOAD HAPA SUMA TRIPPLE A-NIKUITE NANI???
0 comments:
Post a Comment