1-COLLABO
DIAMOND amekuwa ndiye msanii wa kwanza AFRICA mwenye muda mfupi kwenye game ya muziki kupata collabo nyingi.Wakati yeye akiitwa kwenye collabo nyingi yeye mara nyingi ni ngumu kumpa mtu collabo kama umekuwa mfuatiliaji mzuri utakuwa umenielewa nini nakizungumzia hapa..

2-SHOWS NYINGI
Ili uweze kuswitch kwenye music wako inakubidi uwe mtu ambaye unapata connection kutoka kwa watu mbalimbali na ili uweze kupata hizo connection hakikisha nidhamu yako iwe juu sio mtu ambaye unafanya mambo kama hujisikii kufanya make sure unajituma...shows ambazo DIAMOND huwa anafanya huwa ni show ambazo hata mtoto mdogo lazima ataifurahia tu so kwenye shows pia make sure unafanya kweri

3-VIDEO BORA
Moja kati ya vitu vinavyombeba sana kijana huyu ni uwezo alionao kwa kudirect mwenyewe video zake.Kati ya video alizowahi kudirect ni pamoja na Bado-Harmonize,Je utanipenda,Kidogo,nana,na zingine nyingi zaidi
4-NIDHAMU
Kitu kimoja kidogo afu kinachoweza kukuharibia status yako nzima ni NIDHAMU ukiwa na nidhamu mbovu usitegemee kuna mtu atakubeba ili usonge mbele,na hata ukibebwa ni lazima utavimba na kusahau kilichokufanya ufike hapo ulipo...So kama we ni msanii na una ndoto za kuwa star basi make sure unazingzia nidhamu yako especially kwa mashabiki wako kwani wao ndo wanaweza kukushusha na kukupandisha pia
.
0 comments:
Post a Comment