Tuesday, 22 November 2016

INTERVIEW WITH ODDO THE KRANCA PART 1

Baada ya kuitambulisha track yake kuna story zipo mtaani kwamba jaa dizaini kama anabifu na mwanaye wa wa kitaa kimoja anayefahamika kwa jina la JABBY ambaye alivuma na wimbo wake aliofanya na ALLY KIBA unaoitwa HASARA ROHO
ODDO THE KRANCA

Hii ndo ilikuwa sababu kubwa ya mimi kuamua kufanya mazungumzo na ODDO..Kuna mengi huwa yanatokea nyuma ya pazia.Hebu pata nafasi ya kusikiliza PART 1 ya interview hii ya kibabe na de BADEST one a.k.a SMALL BOY KATUNI ama ukipenda niite SIGNAL BOY 39


AKIWA KIJIWENI NA WASHIKAJI



  ETI CHEMICAL BADO BIKRA........TIZAMA HAPA AKIFUNGUKA



0 comments: