Baada ya kimya kingi kutoka kwa young dee hatimaye ameamua kuwadiss young killer na dogo janja kwenye interview..Ikumbukwe kuwa young killer na dogo janja walimdiss young dee kwenye tracks zao ambapo young killer alimchana kwenye track yake ya sinaga swaga wakati dogo janja akimchana kwenye nyimbo yake ya my life
chukua time kutizama na kusikiliza alichokisema young dee juu ya killer na janjaro
0 comments:
Post a Comment