
Mtafya Mtafire mi msanii kutoka Mbeya ambaye anafanya muziki wa aina mbalimbali leo namdondosha kwenu kwenye show mpya kabisa inayofahamika kama Ze WANTED kwa maana ni segment ambayo inahusu zaidi wasanii ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam na tunawasiliana nao kwa njia ya simu.
MTAFYA alibonga nasi issue kibao ikiwemo suala la yeye kuandaa album yake ya kwanza ambayo itabeba nyimbo kumi yeye mwenyewe anaamini ni moja ya album kubwa licha ya kwamba ni album yake ya kwanza kuwahi kufanya toka aanze kufanya muziki..
Enjoy interview hii kwa kubonyeza HAPA au bonyeza kitufe cha kuplay hapo chini
KAMA ULIMISS INTERVIEW YA RAYMOND AKIWA HOLLAND NIMEKUSOGEZEA HAPA
MAKALA MAALUMU YA MAZINGIRA
0 comments:
Post a Comment