Friday, 9 June 2017

INFO KITAA with DIAMOND PLATNUMZ

Image result for DIAMOND PLAAMEZALIWA: October 2, 1989 (age 27), Tandale, Dar es Salaam, Tanzania
MAJINA MENGINE: Chibu Dangote, Simba

INFO KITAA ni segment mpya ambayo inakupa zile info 5 kuhusu msanii na vivutio mbalimbali duniani kama majengo mbalimbali miji na kadhalika...

Leo tupo na DIAMOND msanii kutoka Tanzania anayewakilisha label ya WCB na hizi ni zile info 5 kali ambazo inapaswa wewe nkuzifahamu mchongo mzima upo kwenye audio hapo chini so play kusikiliza mchongo mzima then nifuate kupitia 0718084829 kama una lolote la kunishauri na kunipa info pia

0 comments: