Baada ya kubonga mishe kibao kuhusu music na mavideo part 2 hii hapa leo nimesimamia mwenyewe show hii hapa na mwanangu Edu boy..
Edu boy leo anatusanua kiwango anacholipwa kwa kila show na kama unamahitaji ya Edu boy kwenye show yako inabidi ujipange kiana.Tarehe 7 mwezi wa 4 ntakuwepo ndani ya Kunduchi water world kwenye bash ambayo imeandaliwa na wanafunzi wa chuo cha TSJ...Drop pande hizo tukutane upate offer mbalimbali kwa mtonyo wa 20000 kama ukitokea chuoni getini mi nadhani uongozi wa eneo husika ndo wana deal na hilo
EDU BOY PERFORMING
ZE DOCUMENTARY (MOUNT KILIMANJARO)
ZE DOCUMENTARY (MOUNT KILIMANJARO)

0 comments:
Post a Comment