Tuesday, 21 March 2017

INTERVIEW WITH EDUBOY PART 1


Eduboy ni msanii wa HIP HOP zao la Mwanza ni msanii ambaye ana uwezo wa kufanya aina mbalimbali za muziki ikiwemo HIP HOP na RnB.Ameweza kufanya ngoma kadhaa na kali kama Nimejifunza akiwa amamshirikisha Barnaba pia Dumange akiwa na mr T-Touch pamoja na Naiee ambayo amafanya na BILNASS
SIGNAL BOY 39 & EDU BOY on interview
.
Tumsikilize mambo ambayo aliweza kushare na sisi leo show itaenda kitofauti kidogo na pia nataka kutoa nafasi kwa wadau washow hii just stay with me part 2 itakuwa na mchongo mzima

BONYEZA KITUFE CHA KUPLAY USIKILIZE 

ITAZAME VIDEO YA EDU BOY FT BILL NASS _NAIEE


FAHAMU VIVIUTIO VYA TANZANIA(KILIMANJARO)

1 comments: