Tumeauanza mwaka 2018 kwa majanga na mambo mazuri pia lakini leo nataka nikupe listi ya movies ambazo hupaswi kabisa kuzikosa.Kwa kuanza tu naomba nikujulishe kuwa movie ya Star Wars: The Last Jedi ndio movie iliyouza zaida mwaka kwa 2017 ambapo imeuza kwa kiasi cha $605,489,921 sawa na fedha za kitanzania 1,362,877,327,251.96
Na hizi ndo listi ya movie ambazo hupaswi kuzikosa Februari hii
The Black Panther

Winchester

Annihilation

Samson

SOMO JIPYA NDANI YA P1MIX ONLINE TV
0 comments:
Post a Comment